KUHITIMU SHULE>>>>>>>>>>>>>>>>>>!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanafunzi wengi huwa wanajisikia furaha sana kuhitimu masomo yao,hii yote ni kwasababu ya kusoma kwa muda mrefu ,pia huwa wanatamani sana maisha ya nyumbani kupumzika na wengine kuendelea na shuguli nyingine ,Kwa asilimia kubwa hapana mwanafunzi yeyote atakaye hitimu masomo alafu achukie hakuna kabisa labda awe amfeli /amefanya vibaya mitihani yake .wanafunzi wengi wakimaliza shule huwa wanajibweteka na si kujishuhulisha na shughuli nyingine za kimaendeleo ya kiuchumi.Aslimia kubwa hu2lia kungoja matokeo na wengine hujihusisha na mambo ya mahusiano yakimapenzi,mwiho huishia kubebesha na kubebeswa mimba zisizo na mpango wowote wenye maana katika maisha ya binadamu alie na akili timamu na zinaofikiria.Kutokana na hilo inapelekea kuleta madhara mengi katika jamii na taifa kwa ujumla,kutokana na mimba za utotoni ,watoto wa mtaani na kadhalika................................................! http://www.student face.blogspot.com
No comments:
Post a Comment