Sunday, March 29, 2015

AFTER NECTA

MAISHA YA NYUMBANI BAADA YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE......................
         Wanafunzi wengi wanapo maliza kidato cha nne huawa wanalikizo ndefu sana kutokana na utaratibu ambao tumewekewa na serikali yetu ya Tanzani
          Hivyo basi kulingana na taratibu za mfumo wetu wa elimu tunajikuta ikiwalazimu wanafunzi kukaa nyumbani bila shuguli yoyote ya muhimu  .nahivyo kutulazimu kufanya mambo mengi na mengine yasiyo ya muhimu kwetu ambayo ni kama wale  ambao huwa wanajiunga na course mbalimbali  ili maisha na muda uweze kusonga mbele ............japo maisha ni kutafuta kuna wengine ambao huwa wanajishughulisha na shuguli mbalimbali ila kuweza kusukuma maisha yaweze kusonga.Kwani wapo ambao huwa wanaishi kwenye hali ngumu ya maisha hasa kwa kipindi hicho ambacho wanakaa nyumbani muda wote bila kuwa na lakufanya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

          Muda huu wanafunzi hao huitwa majina mengi ya mitaaani Kama wanakijiji ,raiya wa mda,na kupewa uhuru wa kufanya mambo mbalimbali wakiwa mtaani/ kitaaa. wengine hutumia muda huo kujiunga na makundi ambayo hayana  faida kwao.................Makundi hayo ambayo huweza kuletamadhara makubwa sana kwa maisha yao ya baadaye .Makundi ambayo vijana wengi ambayo huwa wanajiunga ni kama makundi ya kuvuta bangi unywaji wa pombe ,club kwa sana  na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii(social network) bila kujali faida na hasara ya vitu hivyo .
                  Kwa upande wa mabinti au dada zetu wapo ambao hutumia mda huu vizuri tena ni hasa wale walio chini ya uangalizi au amalezi mazuri ya wazazi wao.Kwa wala ambao walilelewa malezi ya siyo na msingi mzuri au wale wasiyo jitambua nini wanapaswa kufanya huishia kupotea .au wakali wanasema  kupigwa puu ..... tunaona wengi wanapotela kwanye starehe kutakaka vitu vya matawi na wakati hawana uwezo wa kuvipata zaidi ya kuhongwa na miji BABA yenye pesa zao hapa kwetu mjini. Na mwisho kuishia kubeba mimba na zimwi(magonjwa).hii kiuweli huwafanya wengi kupoteza malengo yao na kuwa ni hasara kwafamilia zao na si familia tuuuu bali hata nchi kwa ujumla
              Hivyo vijana tunapaswa kijitambua  na kuelewa nini tunapaswa kifanya kwa muda ambao tumepewa na seikali ambao ni takribani miezi 8-9 ambayo tumepewa mapumziko na serikali yetu.........................>>>>>>>>>>>>

1 comment: