Monday, March 28, 2016

SINGLE SCHOOLS

   SHULE ZA JINSIA MOJA   


Ni shule  zinazochukua wanafunzi wa jinsia  moja tu  wavulana au wasichana.  ni shule ambazo zinapendwa sana na watu wengi  lakina ni wale   ambao si wanafunzi na ambao hawaja wahi kuisoma hizo shule..................jiulize kwa nini??????
mfano wa shule kubwa za single ni ZANAKI girls,FEDHA girls, SENGEREMA BOYZ, MARIAN boyz  shule hizi wasomaji ni watu wanaofanana  jinsia . 
                 maisha ya wanafunzi wa hizo shule ya na changamoto nyingi sana  unajua kwa nini 
KWASABABU;
      1.wote wananafanana tabia .kama ni boyz basi  basi wote /wengi lazima wapige punyeto/masterbation
      2.wote watajikuta wako sawa hakuna wa kumtisha mwenzake
      3. ushindani ni mdogo baina yao
      4.missing of the boy/girls
      5. kubanwa sana hasa shule za wasichana 
      6. practise of single sex  
      7.Misunderstanding/
 mambo kama hayo iviiii na mengineyo  
                         YANAYOJIRI  ..................................... 
 Katika maisha ya wanafunzi katika hizi shule  yanatokea mengi sana  hii ni kwasababu tu ni jinsia moja
      MAMBO KAMA
               1. school bush

hizi ni show ambazo zinafanywa na wanafunzi wenyewe ndani ya shule zao...............
Ni mambo flani iviii kama part .graduation , debait     ambapa shule zingine huwa zinaalikwa kwa ajili ya kusherekea .  Huwezi amini yani karibu shule zote za sinle huwa wanaalika ileeee jinsia ambayo hawana 
 uliza sasa yanatokea yapi ?              weweeeeeeeeeeeeeeeeee ni  moto tena wa kuwashia mbali
            2,fassion  & modaling 

  Hili ni onyesho la mavazi  na matumizi yake  hivo wanafunzi wanajiandaa na  maonyesho ya mavazi mbalimbali mfano casual, beach whear, tradional, sport,religion ,king & queen, mambo mengi sana  huwa wanajitahidi.
         3.Sport & games 
   Michezo ni sehemu moja ya shughuli za wanafunzi ila wezi amini kama takwimu zinaonyesha wanafunzi wengi hawapendi kuchuza, hasa wale  wa shule  za wasichana  kwa sababu wao ni masista duuuuuuu eti so hawataki shobo eti wamekuwa  naakati michezo mingine wana ipenda  teeena we usiambie!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni ipi???????? sijui............... (            )jibu kichwani mwako

No comments:

Post a Comment