Monday, March 28, 2016

PASAKA 2016

UNAJUA YALIOJIRI  PASAKA HII
   
 hii ni ndani  ya pasaka bwana kiteleki(son of tanzania) akititumbuiza  ndani ya uwanja wa taifa
Watu kupoteza maisha  kwa sababu ya kusherekea sikuku ya pasaka

hii ni baada ya uzembe wa watu mbalimbali   kutotambua umuhiimu wa sikukuu ya kusherekea vizuri wengi wanaishia   kufanya starehee kupitiliza. Tunapaswa kuwa  na familia zetu majumbani kipindi cha sikukuu
   

No comments:

Post a Comment