Monday, March 28, 2016

WHATS NEW DAY

                   NEW DAY HAS COME
  Nini kipya juu ya siku mpya............................................ ?
                            Watu wengi wanapenda siku mpya wakijua kwamba ya jana imepita  ili wafanye mapya
   Je unazani kuna alama yoyote ambayo inaonyesha  kuwa hii ni siku mpya?
kwanini tunazipa siku majina ............................ kwanini zote zisiwe juamatatu /jumanne
 kwani kuna vitu ambavyo vimepangwa vitafanyika jumatutu ,;;;;;;haiwezekani jumanne/jumatano  na vikifanyika tofauti na iyo siku kunamadhara yanatokea? fikiria  
     nini maan  ya jumatatu/ jumanne/alhamisi.....................Tafrisi ya neno kwa neno unawezema sema jumatatu ni juma la tatu je ni kweli ? tuwaze  kama kuna aja ya kuzipa siku majina  kwa sababu kiuhalisia hakuna umuhimu wowote wa kuzipa siku majina   ukiangalia neno/jina  na tukio havina mahusiano................
       tukiangalia kuna tafsiri ya ya siku  mfano jumatatu  huwa inajulikana kama ni siku ngumu  mbaya  na yenyemambo mengi. je   siku nyingine ni nyepesi  nani alisha pima akajua kwamba ni lazima jumatatu iwe ngumu .LAKINI   unajua kwamba kuishi siku ya jana kabla ya ya kesho/leo ndio itaamua  siku mpya iweje .  
ivo katika DUNIA hakuna kipya kama kwako ni kipya kwamwenzako cha zamani  na ni mzoefu kabisaaaaaaaaaaa      ivo  hakuna siku mpya zote zilezile  lakini  mpangilio wa ko utaamua iwe mpya au ile ile  unaweza amua zote jumatatu/ijumaa 
fanya siku mpya iwe kwako na si kwa wote  fanya jumatatu iwe rahisi na si ngumu ............ Fanya siku zote ziwe sawa lakini yambele izidi ya nyuma utafanya maisha yako kuwa raisi na mepesi zaidiiiiiiiiii 
   
happyness.blogspot.com

No comments:

Post a Comment