Sunday, June 23, 2013

maisha ya wanafunzi wakiwa shuleni


MAISHAYA WANAFUNZI WAKIWA SHULENI!!!!!!!!!!!!!!!!!!
https.www.blogger.com

Wananafunzi wa Tanzania wanaishi maisha tofautitofauti,na mazingira tofauti tofauti.....................

watoto wakiwa nyumbani ni tofauti na wakiwa shuleni au mahali pengine.Pia huwa na tabia tofauti tofauti,hii ni kwa sababu wamekua kupitia mazingira tofauti tofaui.Wengi wakiwa shuleni wanakuwa watundu na wazungumzaji lakaini nyumbani hawapo ivo,wengine huwa wapole lakini wakiwa nyumbani ni watundu wa kutupa.hizo ni hali toafauti tofauti za wanafunzi.!!!!!!!!!!!




Maisha ya shule ni matamu machungu mepesi na mazito. Ni jinsi utakavyo yaendeshaaaaaaaaaaa. kwa wanafunzi wa shule ya msingi ni wadogo lakini ni wazuri kuliko sekondari....................... kwanza hawana usumbufu wowote ....................Njooo kwa wanaume, wanawake, wa sekondari hakuna wasilo lijua asa cjui wamefata nini shule hebu tujiulize kiundani zaidi.

mambo mengi yanafanywa watoto wakikua ambayo ni

1. MATUMIZI MABAYA YA SIMU

2 UVUTAJI WA MADAWA YA KULEVYA

3.KUSHIRIKI NGONO

4.UDOKOZI

Haya yote yanatokea kipindi cha kujitambua / kupevuka .......................... si wote wanaopata malezi mazuri kwamba watajitambua wengine huwa ni kichwa ngumu ..................

Wazazi & walezi tuwemakini kwenye malezi yetu

VIJANA TUTAMBUKE NA KUWA MAKINI

No comments:

Post a Comment