STUDENT FACE
the blog is for all information about student around us .............. GET NEWS ABOUT NEW LIFE OF STUDENTS IN ALL LEVELS.......
Thursday, September 28, 2017
Tuesday, March 29, 2016
AKILI ZA AJABU
MTOTO WA AJABU
Monday, March 28, 2016
PASAKA 2016
UNAJUA YALIOJIRI PASAKA HII
hii ni ndani ya pasaka bwana kiteleki(son of tanzania) akititumbuiza ndani ya uwanja wa taifa
Watu kupoteza maisha kwa sababu ya kusherekea sikuku ya pasaka
hii ni baada ya uzembe wa watu mbalimbali kutotambua umuhiimu wa sikukuu ya kusherekea vizuri wengi wanaishia kufanya starehee kupitiliza. Tunapaswa kuwa na familia zetu majumbani kipindi cha sikukuu
Labels:
easter2016
Location:
Dar es Salaam, Tanzania
SINGLE SCHOOLS
SHULE ZA JINSIA MOJA
Michezo ni sehemu moja ya shughuli za wanafunzi ila wezi amini kama takwimu zinaonyesha wanafunzi wengi hawapendi kuchuza, hasa wale wa shule za wasichana kwa sababu wao ni masista duuuuuuu eti so hawataki shobo eti wamekuwa naakati michezo mingine wana ipenda teeena we usiambie!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni ipi???????? sijui............... ( )jibu kichwani mwako
Ni shule zinazochukua wanafunzi wa jinsia moja tu wavulana au wasichana. ni shule ambazo zinapendwa sana na watu wengi lakina ni wale ambao si wanafunzi na ambao hawaja wahi kuisoma hizo shule..................jiulize kwa nini??????
mfano wa shule kubwa za single ni ZANAKI girls,FEDHA girls, SENGEREMA BOYZ, MARIAN boyz shule hizi wasomaji ni watu wanaofanana jinsia .
maisha ya wanafunzi wa hizo shule ya na changamoto nyingi sana unajua kwa nini
KWASABABU;
1.wote wananafanana tabia .kama ni boyz basi basi wote /wengi lazima wapige punyeto/masterbation
2.wote watajikuta wako sawa hakuna wa kumtisha mwenzake
3. ushindani ni mdogo baina yao
4.missing of the boy/girls
5. kubanwa sana hasa shule za wasichana
6. practise of single sex
7.Misunderstanding/
mambo kama hayo iviiii na mengineyo
YANAYOJIRI .....................................
Katika maisha ya wanafunzi katika hizi shule yanatokea mengi sana hii ni kwasababu tu ni jinsia moja
MAMBO KAMA
MAMBO KAMA
1. school bush
hizi ni show ambazo zinafanywa na wanafunzi wenyewe ndani ya shule zao...............
Ni mambo flani iviii kama part .graduation , debait ambapa shule zingine huwa zinaalikwa kwa ajili ya kusherekea . Huwezi amini yani karibu shule zote za sinle huwa wanaalika ileeee jinsia ambayo hawana
uliza sasa yanatokea yapi ? weweeeeeeeeeeeeeeeeee ni moto tena wa kuwashia mbali
2,fassion & modaling
Hili ni onyesho la mavazi na matumizi yake hivo wanafunzi wanajiandaa na maonyesho ya mavazi mbalimbali mfano casual, beach whear, tradional, sport,religion ,king & queen, mambo mengi sana huwa wanajitahidi.
3.Sport & games
WHATS NEW DAY
NEW DAY HAS COMENini kipya juu ya siku mpya............................................ ?
Watu wengi wanapenda siku mpya wakijua kwamba ya jana imepita ili wafanye mapya
Je unazani kuna alama yoyote ambayo inaonyesha kuwa hii ni siku mpya?
kwanini tunazipa siku majina ............................ kwanini zote zisiwe juamatatu /jumanne
kwani kuna vitu ambavyo vimepangwa vitafanyika jumatutu ,;;;;;;haiwezekani jumanne/jumatano na vikifanyika tofauti na iyo siku kunamadhara yanatokea? fikiria
nini maan ya jumatatu/ jumanne/alhamisi.....................Tafrisi ya neno kwa neno unawezema sema jumatatu ni juma la tatu je ni kweli ? tuwaze kama kuna aja ya kuzipa siku majina kwa sababu kiuhalisia hakuna umuhimu wowote wa kuzipa siku majina ukiangalia neno/jina na tukio havina mahusiano................
tukiangalia kuna tafsiri ya ya siku mfano jumatatu huwa inajulikana kama ni siku ngumu mbaya na yenyemambo mengi. je siku nyingine ni nyepesi nani alisha pima akajua kwamba ni lazima jumatatu iwe ngumu .LAKINI unajua kwamba kuishi siku ya jana kabla ya ya kesho/leo ndio itaamua siku mpya iweje .
ivo katika DUNIA hakuna kipya kama kwako ni kipya kwamwenzako cha zamani na ni mzoefu kabisaaaaaaaaaaa ivo hakuna siku mpya zote zilezile lakini mpangilio wa ko utaamua iwe mpya au ile ile unaweza amua zote jumatatu/ijumaa
fanya siku mpya iwe kwako na si kwa wote fanya jumatatu iwe rahisi na si ngumu ............ Fanya siku zote ziwe sawa lakini yambele izidi ya nyuma utafanya maisha yako kuwa raisi na mepesi zaidiiiiiiiiii
happyness.blogspot.com
Friday, March 25, 2016
Labels:
easter2016
Location:
Mwanza, Tanzania
Sunday, March 29, 2015
AFTER NECTA
MAISHA YA NYUMBANI BAADA YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE......................
Wanafunzi wengi wanapo maliza kidato cha nne huawa wanalikizo ndefu sana kutokana na utaratibu ambao tumewekewa na serikali yetu ya Tanzani
Hivyo basi kulingana na taratibu za mfumo wetu wa elimu tunajikuta ikiwalazimu wanafunzi kukaa nyumbani bila shuguli yoyote ya muhimu .nahivyo kutulazimu kufanya mambo mengi na mengine yasiyo ya muhimu kwetu ambayo ni kama wale ambao huwa wanajiunga na course mbalimbali ili maisha na muda uweze kusonga mbele ............japo maisha ni kutafuta kuna wengine ambao huwa wanajishughulisha na shuguli mbalimbali ila kuweza kusukuma maisha yaweze kusonga.Kwani wapo ambao huwa wanaishi kwenye hali ngumu ya maisha hasa kwa kipindi hicho ambacho wanakaa nyumbani muda wote bila kuwa na lakufanya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Muda huu wanafunzi hao huitwa majina mengi ya mitaaani Kama wanakijiji ,raiya wa mda,na kupewa uhuru wa kufanya mambo mbalimbali wakiwa mtaani/ kitaaa. wengine hutumia muda huo kujiunga na makundi ambayo hayana faida kwao.................Makundi hayo ambayo huweza kuletamadhara makubwa sana kwa maisha yao ya baadaye .Makundi ambayo vijana wengi ambayo huwa wanajiunga ni kama makundi ya kuvuta bangi unywaji wa pombe ,club kwa sana na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii(social network) bila kujali faida na hasara ya vitu hivyo .
Kwa upande wa mabinti au dada zetu wapo ambao hutumia mda huu vizuri tena ni hasa wale walio chini ya uangalizi au amalezi mazuri ya wazazi wao.Kwa wala ambao walilelewa malezi ya siyo na msingi mzuri au wale wasiyo jitambua nini wanapaswa kufanya huishia kupotea .au wakali wanasema kupigwa puu ..... tunaona wengi wanapotela kwanye starehe kutakaka vitu vya matawi na wakati hawana uwezo wa kuvipata zaidi ya kuhongwa na miji BABA yenye pesa zao hapa kwetu mjini. Na mwisho kuishia kubeba mimba na zimwi(magonjwa).hii kiuweli huwafanya wengi kupoteza malengo yao na kuwa ni hasara kwafamilia zao na si familia tuuuu bali hata nchi kwa ujumla
Hivyo vijana tunapaswa kijitambua na kuelewa nini tunapaswa kifanya kwa muda ambao tumepewa na seikali ambao ni takribani miezi 8-9 ambayo tumepewa mapumziko na serikali yetu.........................>>>>>>>>>>>>
Friday, December 13, 2013
STUDENT FACE: KUHITIMU SHULE>>>>>>>>>>>>>>>>>>!!!!!!!!!!!!!!!!!!...
STUDENT FACE: KUHITIMU SHULE>>>>>>>>>>>>>>>>>>!!!!!!!!!!!!!!!!!!...: KUHITIMU SHULE >>>>>>>>>> >>
Tofauti hizi zinapelekea watu wengi kuona kwamba mapenzi ni kwa mke na mume wachumba na kwawatu wenye mahusiano ya kimapenzi ,na Upendo ni kwa ndugu jamaa na marafiki.Lakini sivyo mapenzi ni kwa mtu yeyote na wajinsia yeyote na waumri wowote.pia halikadhalika upondo.mtu mwenye upendo wa kweli alio zalio zaliwa nao anatofauti kubwa na Yule mwenye upendo wakutengeneza>>>>>>!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wa...
LOVE /UPENDO……………………….
.Mapenzi kati ya watu na watu,mtu na mtu.
Wanafunzi,wazazi, wafanyakazi ,wafanyabiashara [jinsi moja/tofauti]
Mapenzi na upendo ni vitu viwili tofauti.ambavyo vinajitegemea na kwamuda maalumu.Mapenzi niupendo unaotokea pale baada ya mtu kutokea kumpenda mtu,kitu fulani.Lakini Upendo ni mapenzi yaloyo ndani ya mtu toka pale alipo zaliwa usio juu ya kitu Fulani.Upendo na mapepenzi vina tofauti kuu mbili.
Tofauti hizo ni
Mapenzi
|
upendo
|
Huweza kuundwa baada ya mtu kuzaliwa
|
Mtu huzaliwa akiwa na upendo
|
Huweza kuaribiwa na kuondoshwa na mtu,kitu chochote cha hapa duniani.
|
Hauwezi kufutika labda mtu atakapo kufa
|
Wednesday, June 26, 2013
KUHITIMU SHULE>>>>>>>>>>>>>>>>>>!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanafunzi wengi huwa wanajisikia furaha sana kuhitimu masomo yao,hii yote ni kwasababu ya kusoma kwa muda mrefu ,pia huwa wanatamani sana maisha ya nyumbani kupumzika na wengine kuendelea na shuguli nyingine ,Kwa asilimia kubwa hapana mwanafunzi yeyote atakaye hitimu masomo alafu achukie hakuna kabisa labda awe amfeli /amefanya vibaya mitihani yake .wanafunzi wengi wakimaliza shule huwa wanajibweteka na si kujishuhulisha na shughuli nyingine za kimaendeleo ya kiuchumi.Aslimia kubwa hu2lia kungoja matokeo na wengine hujihusisha na mambo ya mahusiano yakimapenzi,mwiho huishia kubebesha na kubebeswa mimba zisizo na mpango wowote wenye maana katika maisha ya binadamu alie na akili timamu na zinaofikiria.Kutokana na hilo inapelekea kuleta madhara mengi katika jamii na taifa kwa ujumla,kutokana na mimba za utotoni ,watoto wa mtaani na kadhalika................................................! http://www.student face.blogspot.com
Subscribe to:
Comments (Atom)
